Tunzaa+

by Tunzaa Fintech Inc.


Shopping

free



Jiunge na Tunzaa+ uweze kufikia mtandao wa wanunuzi ambao hutumia pesa kila siku kununua bidhaa na huduma moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara kama wewe.Ongeza mauzo kwa kuwapa wateja wako uwezo wa kununua kile wanachokihitaji kwa kulipia kwa awamu hadi watimize malipo yao.ONGEZA THAMANIRahisi & salama. Malipo yanatumwa kwako mfanyabiashara na hakuna malipo ya ziada ya kila mwezi.KUZA BIASHARAOngeza mauzo yako kwa kufikia mtandao wa wanunuzi ambao wanafurahia kufanya manunuzi kutimiza malengo na mipango yao.ORODHESHA BIASHARA YAKO BUREOrodhesha bidhaa na huduma zako zote bure - utalipa ada tu ikiwa utauza kupitia Tunzaa.UDHIBITIKupitia Tunzaa unaweza kufatilia oda za wateja wako, bei na kuweka bidhaa mpya kila upendavyo.USALAMA WA MALIPOTunzaa inakuhakikishia usalama wa malipo kutoka kwa wateja wako.USAIDIZI NA USHAURITumejitolea kusaidia washirika wote wa biashara kufanikiwa kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi na msaada wa jinsi ya kufaidika na Tunzaa.